Wanafunzi wakiwa na mwalimu wao (aliekamata pua mfano wa kushika tama) Bin malik khatib Zubeir
Wanafunzi Salum mrehi(mwanzo kushoto),Abuubakar Moh'd(wa pii), Omar Bakar Hamad(kati),Khatib Mwalim Yussuf(wanne) na watano ni Abdallah Omar Ally wakiwa wamesimama na mbele yao wapo na mwalimu wao na baadhi ya wanafunzi wake.Bin Malik Akiwa na wanafunzi wake
Bin Malik na wanafunzi wake
Bin Malik,Saleh khamis bori akiwepo na Abdul-azizi na Fahad Farid
Wanafunzi wa Majalis sania
Bin malik akiwa na watoto wake Hussein Khamis Bori na Ally Abdallah
Mwalimu na wanafunzi
Wanafunzi wakiwa wamejinyoosha baada ya machofu ya Maulid
No comments:
Post a Comment