TAHFIDHUL-QUR-AN

http://www.all-quran.com
JIFUNZE KUSOMA QUR-AN
Qur-an sio ngumu kuihifadhi kwani Allah (Sw) mwenyewe anasema Na kwa yakini tumeifanya Qur-an nyepesi yenye kufahamika(ili iwe kikumbusho lakini,yupo anaekumbuka? - Qu-an  54:22

Mtume Muhammad (s.a.w) amesema "Mbora wenu ni yule ambae alieisoma Qur-an kisha akaifundisha (Bughari) na Imepokewa kutoka kwa Ibn Abbas (RA) kuwa Mtume (s.a.w) amesema "Yule Ambae Hana Chochote (hifdhi) katika Qur-an Moyo wake,ni sawa na jumba Gofu"

Kwa kuwa Tumeambiwa ili kumuabudu Allah (Sw) moja ya malengo ya Muislam katika maisha yake lazima iwe ni kuhifadhi Qur_an kwa kujua Maana yake pamoja na kutekeleza maamuru na makatazo yake, Hakika hifadhi ya Qur-an Huanza pale tutakapo hifadhi macho yetu dhudi ya kutazama maovu. 
NJIA RAHISI SANA NI KUSOMA KWA MPANGILIO UFUATAO
  
 MUONGOZO WA NAMNA YA KUSOMA/KUHIFADHI QUR-AN

TANBIHI:Isome sura yote unayotaka kuihifadhi kiasi cha mara 3 au 5 kisha anza kuhifadhi kwa mujibu wa uwezo wako kufuatia jadweli hapo juu.
jitengee muda ambao hutauvunja zaidi (kama nusu saa kila siku) na kujilazimisha (maintaining some tons of discipline) kuhifadhi aya ulizojipangia.
Muda mzuri sana ni Alfajiri wakati Akili bado imetulia na wakati wamagharibi.
Pendelea sana kusikiliza qur-an hata hapa unaweza ku download au kusikiliza na kutazama video http://www.all-quran.com 
http://www.tanzil.net/#19:1 Qur-an Online
Bonyeza

No comments:

Post a Comment