Tuesday, 9 February 2016

Taarifa ya shuhuli mwaka 2016

Assalam alaykum

Al-madrasat majalis sania michenzani tunawaataarifu waumini wote kua siku ya ijumaa tunasoma maulidi ya kumswalia mtume wetu muhammad (s.a.w),
12/02/2016 wakati wa asubuhi agenna usiku
tutakua na wageni kutoka Dar-es-salam madrasat Taalim iliopo mwananyamala kisiwani.

wote mnakaribishwa Inshallah.






No comments:

Post a Comment